Ufugaji Wa Bata Pdf Download: Tumia Manyoya ya Bata kwa Matumizi Mbalimbali
- viacminbephyisound
- Aug 11, 2023
- 2 min read
UFUGAJI BORA WA BATA BUKINI : Bata Bukini ni ndege ambao asili yao ni India na Japan. Hii ni jamii ya ndege wafugwao lakini tofauti kubwa ya bata wa kawaida wao wana asili ya usafi, hivyo hawapendi uchafu na kamwe hawali mizoga.
UFUGAJI BORA WA BATA MZINGA (Meleagris gallopavo) : Ulaji wa nyama ya bata mzinga umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni na kitoweo chake kimezoeleka kuliwa wakati wa sikukuu mbalimbali kama Idd mbarak, Krismasi na Pasaka.
Ufugaji Wa Bata Pdf Download
Asili yake ni Amerika ya kati ambako walitokana na bata mzinga pori/mwitu. Bata mzinga wengi wanaofugwa ni machotara, yaani waliotokana na aina kama wale weupe wa kutoka Uholanzi na Beltsville, wenye rangi ya shaba. Uzito wa bata mzinga dume wale wakubwa ni kilo 11-14 na majike ni kilo 7 hadi 8 wakiwa hai. Wale aina ndogo madume huwa na kg 7-8 na majike kilo 4-5.
x Vifaranga vya bata mzinga huhitaji mwanga wa kutosha kwa ajili ya kuona maji na chakula kwa vile ni wagumu kuzoea chakula na maji, ikibidi waanzishe kwa kutumbukiza midomo yao kwenye vyombo vya chakula na maji.
sekedar informasi.jika di mayong adalah pusatnya genteng, maka di welahan situ adalah pusatnya pembuatan bata welahan yang biasa banyak orang menyebutnya batu bata welahan harga lebih murah karena langsung dari pengrajinnya.semoga bermanfaat ya...
nah, untuk anda yang tinggal di sekitar wilayah jepara dan sekitarnya, demak, kudus, pati, semarang, dan wilayah jawa tengah yang masih terjangkau, dapatkan batu bata dengan harga terjangkau dengan kualitas super, ringan, merah, keras, dan kualitas terbaik, hanya ada di batu bata jeparasilakan buktikan, datang dan cek sendiri ke lokasi ya, sepanjang kanan-kiri jalan sejak masuk gerbang selamat datang di jepara dari arah semarang/demak, anda akan disuguhi pemandangan sawah-sawah yang terdapat brak-brak untuk pembuatan batu bata merah.
terima kasih informasinya,saya mau berbagi info juga tentang batu bata ya gaes...salah satu batu bata berkualitas buatan tangan dari para pengrajin bata adalah bata dari Jepara, untuk pemesanan, silakan bisa klik chat Whatsapp berikut ini.Bp Sukadar 0852-9275-8208 ? click to chat
Habari Mfugaji unayesoma makala zetu za UFUGAJIMAKINI.. Leo tumekuja na makala hii inayoeleza machache kuhusu ufugaji wa Bata maji au Bata wachafu kama wanavyoitwa na wengiBata Hawa wanaitwa Bata maji kutokana na tabia yao ya kucheza na maji kwa muda mwingi. Pia Bata Hawa hawawezi Kula bila kuwa na maji pembeni.FAIDA ZA UFUGAJI WA BATA MANI (URAHISI WAKE)Wanakua kwa haraka tofaut na kuku
Utotoaji wake ni mzuri tofauti na kuku kwani mayai ya bata yana uwezo wa kutunza joto kwa muda mrefu
Vifaranga wa Bata hawahitaji joto wakat wa ukuaji wao kwa sababu ya ngozi yao kuwa na manyoya mengi.
Sio wepesi kushambuliwa na magonjwa kama kuku
Hawahitaji uangalizi wa karibu kama kuku
Wanataga mayai makubwa na yenye virutubisho asili( kiini cha njano)
Wana kitoweo(nyama tamu)
Wanafikia uzito mkubwa hadi kilo sita(6) kwa Bata dume
Wanahimili mazingira yote ya joto na baridi.
Soko lake ni la uhakika hasa kwa jamii zinazopenda nyama ya Bata kama vile Upareni
Ufugajimakini tupo kwajili ya kuhakikisha Mfugaji wa Bata anapata soko la uhakika na Yule anayehitaji Bata wa kufuga anapata ili kutimiza malengo ya kila mmojaKARIBU UFUGAJIMAKINI TUKUHUDUMIE 2ff7e9595c
コメント